Kikosi cha Singida United kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar
1. Ally Mustapha
2. Michael Rusheshangoga
3. Shafik Batambuze
4. Malik Antiri
5. Kennedy Juma
6. Mudathir Yahya
7. Deus Kaseke
8. Kenny Ally
9. Lubinda Mundia
10. Tafadzwa Kutinyu
11. Salum Chuku
2. Michael Rusheshangoga
3. Shafik Batambuze
4. Malik Antiri
5. Kennedy Juma
6. Mudathir Yahya
7. Deus Kaseke
8. Kenny Ally
9. Lubinda Mundia
10. Tafadzwa Kutinyu
11. Salum Chuku
Kikosi cha akiba
12. Peter Manyika
13. Miraji Adam
14. Salum Kipaga
15. Nizar Khalifan
16. Kigi Makasi
17. Papy Kambale
18. Danny Usengimana
Golikipa Peter Manyika leo hakukaa langoni. Ni mara chache amekaa langoni. Alipokuwa Simba baba yake Manyika Senior alilalamika mara kwa mara na kutishia kumuondoa mwanae kutoka Simba kwa sababu kwa kumweka benchi wanaua kipaji cha mwanae. Sasa naona Singida nao wanaendeleza hilo vipi baba mbona upo kimya husemi kitu? Au sasa unakubali ukweli kuwa kitu muhimu ni mtoto mwenyewe kujifua kwa bidii ashinde ushindani uwanjani, sio suala la kumpanga ili nae acheze, sio friendly match, haya ni mashindano, klabu zinatumia pesa nyingi kusajili zinataka matokeo hivyo mchezaji aliye bora zaidi ndiye atakayepangwa.
ReplyDelete