June 7, 2018

LECHANTRE AKIWA JUKWAANI NA MSAIDIZI WAKE MUDA MFUPI ULIOPITA.


Na Mwandishi Wetu, Nakuru
Kocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre leo atakuwa jukwaani Simba ikicheza mechi ya nusu fainali ya Kombe la SportsPesa Super Cup.

Wakati Simba ikijiandaa kucheza mechi hiyo leo saa 7 mchana, Lechantre anaonekana yuko jukwaani.

Simba itaivaa Kakamega Homeboyz katika mechi ya nusu fainali ya SportPesa Super Cup kwenye Uwanja wa Afrah, mjini hapa.

Taarifa zinaeleza, kuna mgomo baridi kutoka kwake na msaidizi wake, Mohamed Habibi.

Hivyo Simba itaingozwa na Masoud Djuma, msaidizi ambaye Lechantre alimkuta ameishaanza kazi na kikosi hicho.

1 COMMENTS:

  1. Mwanaspoti imeripoti kuwa kocha wa Simba Mfaransa katoweka na Masud ndie atayeliongoza lahazi. Aondoke yeye kafika hapo, Simba imeshakata mbuga za mafanikio na hakuna jipya alilolifanya isipokuwa kuirejesha timu nyum

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic