SIMBA INAANZA KIBARUA CHA KAGAME LEO, RATIBA YAKE KAMILI HII HAPA
Wakati michuano ya KAGAME ikianza jana jijini Dar es Salaam kwa mechi tatu kupigwa, hii hapa ni ratiba ya mechi za Simba katika mashindano hayo ambapo inaanza kibarua chake leo.
Simba SC vs Dakadaha ya Somalia (Jumamosi - Uwanj wa Taifa, Saa 8 mchana)
Simba vs APR ya Rwanda (Jumatatu - Uwanja wa Taifa, Saa 8 mchana)
Simba vs Singida United (Jumatano - Uwanja wa Taifa, Saa 10 jioni).
Ikumbukwe mechi zote hizi zitakuwa mubashara kupitia kituo cha Azam TV kupitia chaneli yake ya Azam Sports II.
👊👊
ReplyDelete