July 3, 2018


Nahodha wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Eden Hazard, jana ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mechi ya kombe la dunia dhidi ya Japan.

Hazard ameshinda tuzo hiyo kutokana na mchango wake ndani ya Uwanja kwa kuisaidia klabu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.

Katika mtangane huo, Hazard aliweza kutengeneza nafasi ya bao moja ikiwa ni sehemu ya mchango uliochagiza ushindi wa mabao hayo upatikane.

Ushindi wa jana dhidi ya Japan umeisaidia Ubelgiji kufuzu na kutinga hatua inayofuata ya Robo Fainali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic