Baada Ya Klabu ya Yanga Kukamilisha usajili wa Mchezaji Mohamed Banka Kutoka Mtibwa Watu wengi wameonekana kumchanganya na mchezaji wa Zamani wa Timu Hiyo ambaye naye aliitwa Mohamed Banka
JERRY MURO APEWA SHULE KISA USAJILI WA MO BANKA YANGA
Baada Ya Klabu ya Yanga Kukamilisha usajili wa Mchezaji Mohamed Banka Kutoka Mtibwa Watu wengi wameonekana kumchanganya na mchezaji wa Zamani wa Timu Hiyo ambaye naye aliitwa Mohamed Banka
Muro njaa tu ya hela za Manji ndo ilimfanya kuwa msemaji ila kiukweli hajawahi kuwa shabiki, mpenzi wala mchezaji wa mpira. So simshangai kurukia gari kwa mbele
ReplyDeleteDuuuh! Mpira kweli ni mgumu.
ReplyDeleteHalafu atambue kimyakimya maana yake viongozi hawatatamka WANAMTAKA NANI?
ReplyDeleteUtaona tayari kasajiliwa, maana wakitamka kabla ya kumsajili wengine wanawahi.
Lugha ya mpira ukilelewa kwenye mpira haikupi tabu.
Vinginevyo hakuna usajili kwa uelewa tofauti Wa kimyakimya .
Halafu atambue kimyakimya maana yake viongozi hawatatamka WANAMTAKA NANI?