July 5, 2018


Pamoja na kutolewa katika hatua ya 16 ya Kombe la Dunia, Japan imepata mapokezi makubwa nyumbani.

Japan wamerejea kwao wakitokea Urusi na kupata mapokezi makubwa mashabiki wao wakionekana kuwaamini na kufurahishwa na walipofikia.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic