PICHA: TAZAMA SIMBA WALIVYOENDELEA NA MAZOEZI YA KIBABE HUKO UTURUKI
Kikosi cha Simba kimeendelea na programu ya mazoezi jijini Instabul huko Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya tamasha la Simba Day pamoja na msimu mpya ujao wa Ligi Kuu Bara.
Tazama picha za mazoezi hayo yalivyokwenda
Kitaalam kabisa yaani simba inachohitaji hivi sasa ni kuboresha miundo mbinu yake hasa viwanja vya mazoezi.Waturuki ni moja ya wajenzi wazuri wa miundo mbinu Simba wanaweza kutumia uhusiano wao mzuri na baadhi ya wadau wa Uturuki kumpata mkandarasi nafuu.
ReplyDeleteYaani umeongea pointi sana..
DeleteKama wangekuwa wanafanya mazoezi yote hayo huku wakiwa na uhakika wa kuyaendeleza kwenye miundombinu ya uwanja wao wa nyumbani ingekuwa poa sana..
Timu bila uwanja hata wa mazoezi ni sawa na bure! Nadhani ni wakati wa uogozi kuliangalia hili..
Ushauri wangu mdogo sana kuhusu pa kuanzia: Viongozi (i.e delaboss, etal) waache kubwabwaja hovyo hovyo kama mashabiki.. Watulize vichwa wabuni jinsi ya kuwashirikisha wanachama na wapenzi wa timu kwenye maendeleo ya vi/uwanja!