August 21, 2018


Kikosi cha Liverpool kimezidi kuonesha ubabe Ligi Kuu England kwa kuichapa Crystal Palace ikiwa Uwanja wake wa nyumbani kwa mabao 2-0.

Mabao ya Liverpool yamewekwa kimiani na James Milner kwa njia ya penati pamoja na Sadio Mane kuelekea dakika za mwisho wa mchezo.


Bonyeza maandishi mekundu hapa kwa picha zaidi Picha Zaidi

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic