August 15, 2018

4 COMMENTS:

  1. Acheni matangazo ya magazeti huyo makambao kafanya lipi la maana la kumzidi kagere?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmekosa habari za kuandika? Eti Makambo ampoteza Kagere! How?

      Delete
    2. Magazeti ya Bongo yakishoga sana sasa huyo Makambo kafanya nini yanga????? maana mpaka sasa hajashiriki match yoyote ambayo inayotambulika na FIFA wakati Kagere kacheza Kagame na kapiga magoli kalibia kila march alizocheza...makapo yeye anafuna team za mtaani anaanzaje kuwa mkali na kumpoteza Kagere???Kweli nyinyi jamaa ni fa**en tunaanzaje kudanganyana kwa local sports news...mimi ndo maana habari za ulaya nasoma kwny magazeti yao wenyewe maana wabongo Munyu nyingi sana..!katika ligi huyo makambo akitupia goli moja tu utasikia kwenye migazeti yao "Makambo kampoteza CR7 (Christian Ronaldo)..Tuacheni msituone sisi vilaza kama nyinyi..type ya mwandishi wewe unatakiwa kufanya kazi kwny gazeti la team(yanga) maana unachofanya hapa ni kutaka kuwapa faraja wanachama wa yanga wasijione wamepotea tunajuwa huwa mara nyingi mnachukua pesa kwa viongozi wa team ili kuremba team zao wasionekane wamebugi kwenye kusajili magarasha yao..Nilisikia kuna mwandishi kapigwa na askari siku ya simba day..natamani wangekufumua wewe uliepost hii habari..

      Delete
  2. Wanaandika ili wafanye bìashara awajui kuwa wanawaaribia wenzi wao

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic