August 14, 2018




Kikosi ngangari cha Ruvu Shooting cha mkoani Pwani, kesho Jumatano kinatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Tandahimba City ya Mtwara katika Uwanja wa Makonga uliopo Newala mkoani Mtwara.


Mechi hiyo itakuwa ni sehemu ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara msimu mpya wa 2018-19 lakini michuano mingine ndani ya msimu huo.

Kabla ya mchezo huo, itatanguliwa na ufunguzi wa Tawi la Mashabiki wa Ruvu Shooting lililopo Makonga, Newala.

Ruvu Shooting imewasili Mtwara leo jioni baada ya kutoka maskani kwao Mlanzidi mkoani Pwani majira ya saa 11 alfajiri.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic