TFF YAKOSA MDHAMINI MKUU LIGI KUU Shirikisho la Soka Tanzania Bara (TFF) limesema mpaka sasa bado ligi ina wadhamini wawili pekee ambao ni Azam Pay TV pamoja na KCB Bank.
Yajayo yanafurahisha
ReplyDeleteSio jambo zuri hata kidogo
ReplyDeleteahhahahahahahhahaha kosa kubwa mlilofanya kumtoa malinzi na kumuacha masaidizi wake ndio awe raisi??? only in africa yaan mbwa kamla dog
ReplyDeleteUjuaji mwingi wataongezaje idada ya timu bila ya kumshirikisha mzamini
ReplyDeleteWapambane na hali zao
ReplyDelete