Klabu ya Singida United imetangaza jezi zake mpya kwa ajili ya msimu wa 2018-19.
Jezi hizo zinatengenezwa na kampuni ya Sports Master ya jijini Dar es Salaam.
Festo Sanga ambaye ni Mkurugenzi wa Singida United, ametangaza jezi hizo rasmi hii leo.
Msimu uliopita, Sports Master waliwadhamini Mbeya City ambao walitumia jezi zao.
0 COMMENTS:
Post a Comment