BREAKING: RC MAKONDA AWAWEKA MTU KATI MATAPELI – VIDEO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Septemba 25, amekutana na watu wa Mabenki na madalali ambao wanadaiwa kushirikiana na baadhi ya watu kufanya utapeli wa hati na kuuza nyumba au mali kwa njia ya udanganyifu.
RC Makonda anazungumza na watu hao katika ukumbi wa Anatoglo jijini Dar es Salaam, msikie hapa akizungumza.
0 COMMENTS:
Post a Comment