September 2, 2018


Timu ya Juventus imeendeleza ubabe katika ligi ya Italia kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Parma.

Mabao ya Juventus yamewekwa kimiani na Mario Mandzukic pamoja na Blaise Matuidi.

Bao pekee la Parma limewekwa kimiani na Gevinho ambaye ni raia wa Ivory Coast.

Gumzo kubwa limesalia kwa nyota Cristiano Ronaldo ambaye leo amefikisha mechi tatu bila kupata hata bao moja.

Mechi hizo ni sawa na dakika 270 kwa nyota huyo ambaye alikuwa na kikois cha Real Madrid kwa msimu uliopita.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic