September 2, 2018


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, wamefanya Tamasha kubwa jijini Dar es Salaam jana usiku Agosti 31, katika Ukumbi wa Mlimani City likiwa na lengo la kuchangia fedha kwa za ujenzi wa vyoo katika shule za msingi na sekondari nchini kwa ajili ya watoto wa Kike.

Katika tamasha hilo Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ambaye pia ni Mwanamuziki wa Bongo Fleva, alifanya bonge moja la shoo kwa kuimba stejini hali iliyoibua shangwe na ndelemo ukumbini hapo jambo lililomuinua Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye naye akaonyesha umwamba wake katika muziki.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic