KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AFRICAN LYON LEO, TSHISHIMBI, MAKAMBO NDANI
Kikosi cha Yanga dhidi ya African Lyon, mechi ya kirafiki
1. Klaus Kindoki
2. Paul Godffrey
3. Gustapha Simon
4. Cleofas Sospter
5. Said Juma
6. Feisal Salum
7. Mrisho Ngassa
8. Rafael Daud
9. Heritier Makambo
10. Pius Buswita
11. Deus Kaseke
Kikosi cha akiba
12. Ramadhan Kabwili
13. Maka Edward
14. Japhary Mohammed
15. Papy Tshishimbi
16. Ibrahim Ajibu
17. Yusuph Mhilu
18. Amis Tambwe
19. Matheo Anthony
20. Baruan Akilimali
21. Said Mussa
22. Emmanuel Martin
23. Yohana Nkomola








Jana walipocheza Simba mliandika sentensi nyepesi “ Kikosi cha Simba dhidi ya AFC. na wala hamkutupatia matokeo ya mchezo. leo hicho kichwa cha habari kina madoido nyongeza makorombosho. na hapo hamjaweka neno cha maangamizi au mauaji kwa kutwa watu wameishawashtukia!lAu jana Bocco na Kichuya hawaiuwa ndani!BADILIKENI
ReplyDeleteTena basi Bocco aliyepachka mawili, angepewa nafasi ya kuendelea kipindi chapili, angeweza kupachika mengine
ReplyDeleteSasa kulikuwa na point ya kuandika Makambo na Tishishimbi hao wakongo..
ReplyDeleteIngekuwa vema na Jana mkaweka Bocco na Kichuya ndani watanzania wenzenu!
Wabahatishaji hao
ReplyDelete