Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Simba SC, mechi ya Ligi Kuu Bara
1. Beno Kakolanya
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Vicent Andrew 'Dante'
5. Kelvin Yondani (C)
6. Feisal Salum 'Fei toto'
7. Deus Kaseke
8. Papy Tshishimbi
9. Herietier Makambo
10. Ibrahim Ajibu
11. Mrisho Ngasa
Jamani hapa kwa kindoki tunatafuta lawama za bule
ReplyDeletesio bule, ni bure
DeleteHuyu kocha anautani sana
ReplyDeleteTatizo sio Kindoki,tatizo linatokana na udhaifu wa mabeki hasa Andrew Vincent na Gadiel Michael,magoli yanayofungwa ni mepesi kutokana na kukosa umakini katika kukaba,fuatilieni magoli aliyofungwa Kindoki ndo mtagundua madhaifu yalianzia wapi
ReplyDeletekazi ya kipa kusahisha makosa ya mabeki na ameruhusiwa kutumia mikono sasa kama hawezi anaruhusu magoli mepesi wanini kipa huyo
ReplyDeletekazi ya kipa kusahisha makosa ya mabeki na ameruhusiwa kutumia mikono sasa kama hawezi anaruhusu magoli mepesi wanini kipa huyo
ReplyDeleteHuyu kocha Msenge Sana Sasa Huyo kindoki wa kazi gn
ReplyDeleteMmeanza kulalamika hata mambo bado yakiwa tayari itakuaje?
ReplyDelete