September 14, 2018


Baba mzazi wa Msanii wa Bondo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Plantnumz’, Mzee Abdul Juma amemuomba mwanaye huyo amnunulie nyumba ili aweze kuishi kwa amani tofauti na maisha anayoishi sasa hivi.

Aidha, Mzee Abdul amesema mbali na nyumba pia amsaidie mtaji ili afanye biashara huku akikataa kununuliwa gari kwa madai kwamba hivyo ni vitu vidogo vidogo ambavyo hana haraka navyo.

1 COMMENTS:

  1. Majuto ni Mjukuu. Kama ni kweli wanavyosema ulikataa kumuhudumia Naseeb alipokuwa mtoto mdogo, dhambi hiyo sasa inakutafuna. Naseeb anaweza kusamehe lakini hawezi kusahau. Liwe pia fundisho kwa wanaume wote. Watoto watakuwa msiwatedee maovu utotoni mtakuja aibika ukbwani.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic