September 11, 2018


Unaweza kujiuliza inawezekana kweli msanii wa vichekesho ambaye pia ni mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ameweza ‘kumfyatukia’ rapa kutoka Marekani, Kanye West kwa kumwambia aache bangi?

Kama ulikuwa hujui, jua sasa; hii imetokea juzi tu katika ukurasa wa kijamii wa Twitter wa Kanye West ambapo rapa huyu aliandika maneno matatu tu; ‘We are Gods’ akimaanisha, ‘Sisi ni Miungu’ ndipo povu kubwa likaanza kumtoka Masanja kwa kumjibu kwa Kiswahili (sijui sasa kama ujumbe ulikuwa unamfikia).

Masanja aliandika meseji hizi za kumjibu Kanye West; “Huwaga una umama sana.”“Acha kuvuta bangi.”“Wewe ni kenge.”

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic