VIDEO: NAMNA MWAKYEMBE ALIVYOBANWA KUHUSIANA NA BINGWA ASIJYEJULIKANA
WAaziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe, amewatoa wasiwasi wabunge ambao hawamfahamu bondia Mwakinyo na kusema kwa mwanamichezo wanamfahamu kama bingwa wa WBA.
Mwakyembe amesema kwasasa wana mipango ya kuwakutanisha mabondia hao na kuweza kufahamika kwa Watanzania.








0 COMMENTS:
Post a Comment