September 9, 2018


Jezi mpya za Coastal Union ya Tanga zimeshawasili baada ya kushindwa kutambulishwa kwenye tamasha la tamasha la klabu hiyo ililofanyika hivi karibuni.


Jezi hiyo inaonekana kuwa nembo ya kinywaji anachomiliki Ali Kiba 'Mofaya' ambaye ndiye mdhamini mkuu pamoja na BinSlum.

Kocha Mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda, alisema utengenezwaji wa jezi hizo ulichelewa baada ya kampuni waliyongia nayo makubaliano kuwa na majukumu huko China.

Uzi huo sasa utatumika kuelekea mechi zijazo za ligi ambazo Costal watakuwa wanacheza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic