VIDEO: AZAM YATANGAZA VIONGOZI WAPYA, NGOMA AIBULIWA UPYA
Matajiri wa jiji, Azam FC wametangaza viongozi wapya wa klabu hiyo waliopewa nafasi za CEO na Makamu Mwenyekiti sambamba na hilo kikosi cha timu hiyo kinatarajia kuondoka leo kuelekea kanda ya ziwa kwa ajili ya michezo ya Ligi Kuu.








Ngoma aliyetapeli Yanga, Mungu anamwona!
ReplyDelete