Wakati akiwa kwenye sintofahamu na menejimenti yake ya WCB, msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Ndegele’ ikiwa ni video yake ya kwanza toka aingie kwenye mgogoro na lebo hiyo aliyofanya nayo kazi kwa miaka miwili.
VIDEO - LICHA YA KUTOELEWANA NA WCB, MAVOKO AJA NA NDEGELE MPYA
Wakati akiwa kwenye sintofahamu na menejimenti yake ya WCB, msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Ndegele’ ikiwa ni video yake ya kwanza toka aingie kwenye mgogoro na lebo hiyo aliyofanya nayo kazi kwa miaka miwili.
0 COMMENTS:
Post a Comment