VIDEO: SHABIKI HUYU SIMBA AAHIDI KUCHOMEWA NYUMBA YAKE ENDAPO TIMU YAKE ITAFUNGWA
Mashabiki wa Simba na Yanga wameendelea kutambiana kuelekea mchezo wao leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo mashabiki wa timu zote mbili wametamba kuibuka na ushindi huku wakiwataja washambuliaji wao hatari Meddie Kagere kwa upande wa Simba na Heritier Makambo kwa upande wa Yanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment