September 11, 2018

3 COMMENTS:

  1. Sawa kabisa bondia huyo ni muingereza sio mmarekani rekebisha kichwa cha habari. Ni makosa laini mno kwa blog kama hii.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana khassan ameutendea haki utanzania wake. Hali ya mwanko kwa vijana wengi wa kitanzania kutafuta na kupata mafanikio upo juu mno kuliko wakati wote nilioishi maisha yangu. Na la kufarahisha zaidi vijana wanahangaika katika kupata maendeleo kwa njia zilizo stahiki. Hapo nyuma kidogo vijana wengi walikuwa majasiri wa kuthubutu kutenda matendo maovu katika kujipatia kipato. Ingawa bado wapo watanzania wanaomini kujipatia kipato kwa njia za kihalifu ila mabadiliko chanya yaliyowazi kabisa ya vijana wetu kujituma katika kazi zao yanaonekana. Wahenga walisema Mti ukiwa wenye afya na imara basi uwezekano wa kuzalisha matunda bora na matamu ni mkubwa mno. Tunaweza tukabeza lakini nidhamu,uadilifu,uchapaji kazi na uwazi wa serikali ya awamu ya tano ni moja kati ya Mti bora na imara utakaozaa matunda bora ya mafanikio nchini. Asiefanya kazi na asile. Mtegemea cha ndugu hufa masikini. Uvivu ni nyumba ya njaa. Kama ndege mdogo kabisa asiekuwa hana hata mikono anaweza kujenga makazi yake na kuwa na uwezo wa kulea familia yake bila ya shida vipi wewe binaadamu Mungu aliekupa akili na viungo kadha wa kadha ukae ukilia maisha magumu? There is no short cut on prosperity. Hakuna njia ya mkato katika kupata mafanikio. Leo khassan anaonekana dunia nzima kwenye tv na kunawezekano mkubwa khassan akawa Tanzania number one star power na Mungu atampa nguvu zaidi InshaAllah,lakini khassan ametoka mbali na hapana shaka bidii na kujituma kwa malengo ndio yaliomfikisha pale. Masumbwi ni kazi ya hadharani si kazi rahisi hata kidogo bila ya kujituma nakuwa na nidhamu sio rahisi kufika pale alipofika khassan hivyo dhahiri yakwamba tukithubutu watanzania tunaweza ni kuamua na kujituma tu na hapana shaka kunako uhai basi Tanzania yajayo ni ya kushangaza sana.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic