WANAUME 20 SIMBA WALIOSAFIRI LEO KUMALIZANA NA NDANDA JUMAMOSI HII MTWARA
Kikosi cha wachezaji Simba kilichosafiri kuelekea Mtwara leo
1. Aishi Manula
2. Deo Munishi
3. Nicholas Gyan
4. Shomari Kapombe
5. Paul Bukaba
6. Pascal Wawa
7. Erasto Nyoni
8. Yusuph Mlipili
9. Jonas Mkude
10. Mohammed Ibrahim
11. Adam Salamba
12. Emmanuel Okwi
13. John Boko
14. Meddie Kagere
15. Clatous Chama
16. Mohammed Hussein
17. Mohammed Rashid
18. Said Ndemla
19. Hassan Dilunga
20. Shiza Kichuya
Safi sana
ReplyDeleteYah nimeipenda kazi njema ssc
ReplyDeleteSimba ni bingwa mtetezi wa ligi lakini pia Simba ni miongoni mwa timu ambazo wachezaji wake wengi wakijatumbua wanaweza kuwa na msaada mkubwa kwa timu ya Taifa wakati huu Tanzania ikijaribu kurudi tena katika kinyanganyiro cha kugombania ubingwa wa mataifa ya Africa. Wanasema mchezaji wa timu ya Taifa anapikwa kunako timu yake na kilichobakia ni kwenda kutoa huduma tu kwenye timu yake ya taifa. Na bila ya kusahau Simba ni muwakilishi wa Tanzania kunako mashindano ya ubingwa wa Africa kwa ngazi za vilabu kwa hivyo tunarajia wachezaji wa Simba wanaelewa majukumu walionao juu ya ndoto za wapenzi na wanachama wao,timu yao na watanzania kwa ujumla. Inawezekana kila timu itapokutana na Simba wachezaji wake wakacheza kama fainal kwa sababu mbali mbali nyingi zikawa kwa wachezaji wa timu pinzani kutaka kuonekana na ikiwezekana kuwashawishi ajira mpya ikiwezekana hata ndani ya Simba yenyewe na sio kitu kibaya hata kidogo ni kwa wachezaji wa Simba hasa wazawa kuthibitisha kuwa wanauwezo na hawapo Simba kwa kubahatisha.
ReplyDeletechangamoto kubwa ya wachezaji wa wetu ni kujisau katika kujituma kutekeleza majukumu yao.
ReplyDelete