YANGA YAIBUKA NA USHINDI KIDUCHU TAIFA DHIDI YA AFRICAN LYON
Na George Mganga
Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Bao pekee la Yanga limewekwa kimiani na Yusuph Mhilu mnamo dakika za mwisho za mchezo.
Yanga wametumia mechi hiyo kama maandalizi ya kujiandaa na mechi zijazo za Ligi Kuu Bara.
Katika kipute hicho, Yanga imewakosa nyota wake baadhi ikiwemo Kelvin Yondani, Thaban Kamusoko, Juma Mahadhi walio majeruhi na wengine waliokuwa Uganda kwa majukumu ya timu ya taifa.








Mnyama akiwatumia wengi wachezaji wa akiba wameilaza kwa mabao mane timu ngumu ya Kenya na kamili ya nyota wake, leo tunaishuhudia yanga na nyota kamili kama tulivoishuhudiab aikiwemo mchawi wa mabao Maakamboo wakichachafywa na timu iliyopanda daraja mwaka huu, vipi mtamkabili mnyama mkali na minyota yake bila ya kutaja majina yao? Tumeuona uwezo wa Tambwe na Ajibu na Ngasa wa kusikitisha na Makambo aliyetegemewa kuleta kila kitu
ReplyDeleteAndika kikosi cha simba jana kisha na kilosI cha Yanga Leo watu wavichambue
DeleteHanna haja yabkuchambua takwimu zinaonyesha wazi kabisa.
DeleteBao LA dakika za tisini....bahati yao tu
DeleteSaleh Jembe waliamua kupotezea kabisa matokeo ya Simba Jana. Waliopata manne bila ya Manila okwi kagere na chama..ushindi kiduchu ndani ya SAA moja walishaweka matokeo.Aibu sana blog hii
ReplyDeleteWalibahatisha waalgeria,wakabahatisha Mtibwa na Leo wamebahatisha tena.ukweli ni kwamba huwezi bahatisha kila siku
ReplyDeletesaleh jembe unazid kudhihirishia uma rangi yako halisi,pole sana kijana mwenzangu.
ReplyDeleteAFC Leopards nayo timu ya kusema umeshindana si bora African Lyon. Nyie mikia FC achene hizoooo!
ReplyDelete