Beki kiraka wa Simba, Erasto Nyoni ameongezwa katika kikosi cha Taifa Stars.
Nyoni atakuwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachoivaa Cape Verde keshokutwa Jumanne.
Kocha Emmanuel Amunike ameamua kuongeza nguvu ya kiungo chake cha ukabaji ambacho kina pengo kwa kuwa Jonas Mkude pia ni majeruhi.
afadhali wamegundua makosa yao
ReplyDeleteBado, aweke pia kichuya, ajibu na Mkude. Jamani tuwe wakweli hawajamaa ni muhimu sana. Nilitamani hata mohamed Husseni acheze. Kessy sawa, lakini tujue kessy ana kadi mbili tayari na muda mwingi hucheza rafu eneo la hatari.
ReplyDeletePamoja na chuki zao watakubali tu.
ReplyDeleteHakuna beki kama Nyoni east Africa ila Ammunike anapotoshwa. Hata beki bora Uganda ambao wanafanya vizuri anamuheshimu Nyoni
ReplyDeleteKocha wetu aliendaje kuwajaribisha wachezaji kwenye game muhimu kama ile? Ki nadhan hakuwa makin kwenye uteuaji wa kikosi cha timu ya taifa
ReplyDeleteWelcome Bongo Amunike, yajayo yanafurahisha! Picha ndo limeanza!
ReplyDeleteErasto, Yondani, Banda, Kapombe.. kwa pamoja wacheze kesho ni ukuta mgumu sana kupitika huu.
ReplyDeleteHii ndio bongo na soka Lake
ReplyDeleteYondan banda, kapombe, nyoni, mkude, kichuya, mohamed husein, ajib, niwatu muhim sana taifa star's,
ReplyDeleteHii ndio bongo na soka Lake
ReplyDeleteHii ndio bongo na soka Lake
ReplyDeletehii ndiyo bongo na soka lake
ReplyDelete