October 8, 2018

2 COMMENTS:

  1. Wakati mwengine Diamond hana makosa hata kidogo kama utafuatilia tabia ya huyu mzee wake kwani anaonekana hana nidhamu. Kuna mastaa wengi tu Duniani zaidi ya Diamond ambao wana bifu nzito na wazee wao ila ulishawahi kuwaona wakihojiwa hovyo kwenye vyombo vya habari? Hivyo yeye huyo mzee wa Diamond haelewi kuwa hao wanaomuhoji wapo katika misingi ya kibiashara zaidi kupitia jina la mwanae na kiasi gani yeye analipwa kwenye hiyo interview? Na je kama huyo mzee alishawahi kushauriana au kumshauri mwanae kabla ya kwenda kufanya mahojiano hayo? Au lini kama ipo siku Diamond alishawahi kumkandia au kumsema vibaya mzee wake huyo hadharani kwa kiwango cha kuita waandishi wa habari? Nadhani kama alifanya hivyo ni mara chache sana ingawa binafsi sijawahi kusikia kitu kama hicho. Na je kabla ya kwenda mwenye vyombo vya habari kutoa dukuduku lake huyo mzee wa Diamond hatokei kwenye familia au kabila zenye tamaduni za kujadili matatizo au masuala ya kifamilia kupitia ngazi za wazee kama desturi ya watanzania wengi. Na kama huyo mzee ameamua kuishi kizungu zaidi basi anatakiwa kushut..f..up au kuziba mdomo wake kwani wazungu hata kama mtoto wake alimlea kwa kumpa huduma zote za malezi mtoto anazostahiki kupewa na wazazi wake lakini mtoto huyo anapokuwa mkubwa nakuwa na maisha yake binafsi basi mzee inakuwa amemaliza kazi yake na suala la mtoto kuwa karibu au la na mzee wake kimahusiano ni uamuzi wa mtoto mwenyewe,achana na hata mawazo ya mzee wake huyo kufikiria kuomba msaada kutoka kwa mwanae mambo yankuwa kila mtu na lake hakuna kufuatiliana na hao huo ndio uzungu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakubaliana na wewe ila sisi ni waafrika si wazungu.. tukifuata uzungu ilhali tunaishi kwenye utamaduni wa kiafrika tutaleta vurugu katika jamii

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic