October 21, 2018



Mfungaji pekee wa mabao matatu katika mchezo wa Yanga na Stand United, Alex Kitenge amepania kuzifumania nyavu za Simba leo uwanja wa Taifa.

Kitenge amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga Hat -trick na tangu awafunge Yanga hajapata bahati ya kuifunga timu nyingine na leo amepania kuwafunga Simba.

"Unajua baada ya kushinda mabao matatu,mabeki wengi wamekuwa wakinikamia hali ambayo inanifanya nishindwe kupata nafasi ya kufunga.

"Mchezo mgumu dhidi ya Simba nitapambana ili niweze kuwafunga nikipata nafasi,mwalimu amenipa mbinu mpya ambazo zitasaidia kupata matokeo chanya"alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic