October 21, 2018



Aliyekuwa kocha Msaidizi wa timu ya Simba Masoud Djuma,   sasa ni kocha Mkuu wa timu ya As Kigali inayoshiriki ligi kuu nchini Rwanda ametoa ya moyoni kuhusu kupatikana kwa Mo.

Djuma amesema ni jambo la kumshukuru Mungu hasa kwa muwekezaji na mfanyabiashara Mohamed Dewji "Mo" kurejeshwa salama.

"Mungu ametenda miujiza yake ,kitu kikubwa ambacho kinazidi kuongeza furaha kwa watanzania pamoja na mashabiki wa Simba,naamini kilichosaidia kumrejesha ni dua za watanzania na dunia"alisema .

2 COMMENTS:

  1. Mungu mkubwa kweli. Nani kasema Halbadiri haifanyi kazi? Yaani majangiri wamemtema Mo salama wasalamini wamemsahau mpaka zana zao za kazi kudadeki,walipojaribu kulitia moto gari,moto umemekataa kufanya kazi,gari pekee ni moto mtupu lakini la kushangaza gari liligoma kuripuka ili lije kuwa shagidi chezea Halbadiri wewe?

    ReplyDelete
  2. Haatariii..yaani Halbadiri ya Simba ya kumsaka bosi ilikuwa kiboko maana naona mpaka Zito Kabwe ilimzuru maana akiropokwa hovyo kama yeye ndio mkuu wa polisi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic