Baada ya kufanya muziki kwa miaka zaidi ya 15 na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa sasa ni wakati rasmi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia kukuza sanaa kwa kutambulisha na kuvipa support vipaji vipya kwa industry.
"Nawatambulisha kwenu vijana wangu Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba kutoka record label yangu - King’s Music" - Alikiba.
jamaaa anajua xana mashairi usipime sauti duh big up coast playey
ReplyDelete