October 20, 2018

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema watu wanaodaiwa kumteka mfanyabiashara Mohammed Dewji, walitaka kulichoma moto gari lililotumika kumteka mfanyabiashara huyo mara baada ya kulitelekeza eneo la Gymkhana

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo, IGP Simon Sirro amesema kupitia jeshi hilo limefanikiwa kukamata silaha 4 ziliyokuwa na risasi nyingi na zimekutwa ndani ya gari hiyo ambayo inadaiwa kumteka mfanyabaishara Mo Dewji.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic