Kufuatia kupatikana kwa bilionea Mo Dewji baada ya kutelekezwa na watekaji maeneo ya Gymkana, Dar usiku wa kuamkia leo, Gazeti la Championi linakuletea Habari Exclusive na Picha za tukio hilo.
- Exclusive ya mtu ambaye atapewa kitita cha Tsh. Bilioni 1 iliyotangazwa na familia ya Mo.
- Asimulia alivyotekwa, kufichwa uso na kujikuta amefungiwa kwenye chumba.
- Dhumuni la watekaji hao, silaha za kivita zakutwa kwenye gari.
- IGP Sirro, RPC Mambosasa wanasemaje? Wananchi je?
- Kulisoma gazeti hili, Install App ya Global Publishers kisha nunua Tsh. 300 tu kupitia M-Pesa au Tigo Pesa.
- Kwa wale wenye App ya Global Publishers unachotakiwa ni kwenda kwenye 'Menu' ya Magazeti na kisha nunua kwa Tsh 300 tu kupitia M-Pesa au Tigo Pesa.
I am questioning that during this time you must deliver a try and this new app Death Moto 2 Mod Apk : which is now maximum trending app inside the global.
ReplyDelete