October 6, 2018


Na George Mganga

Straika mpya wa Simba aliyesajiliwa kutoka Lipuli FC baada ya msimu uliopita kumalizika, amekuja na staili mpya ya nywele.

Salamba ambaye bado hajapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza kwa mechi za ligi msimu huu ameamua kuzinyoa nywele zake na kutengeneza staili ya kiduku.



Mpaka sasa nyota huyo hajafanikiwa kucheka na nyavu ndani ya kikosi hicho na pengine anaweza akafungua ukurasa wa mabao leo Uwanja wa Taifa.

Simba itakuwa na kibarua leo dhidi ya African Lyon ambapo mechi hiyo itaanza majira ya saa 1 za usiku.

1 COMMENTS:

  1. Cheza mpira, msukuma alikuja kwa mbeembwe sasaiv anakuwa mtu wa nywele. Kujitambua ni shida sana kwa wachezaji wasiolelewa katika maadili ya soka

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic