October 3, 2018






Hatimaye John Isack Salewa, mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa amekabidhiwa rasmi Bajaj yake na kuibua furaha kubwa na shangwe kwa ndugu, jamaa na marafiki. 


Timu ya ushindi kutika sportPesa ilifika Bereko Kondoa ili kukabidhi Bajaj hiyo kwa mshindi na kukuta watu wengi wakisubiri kwa hamu kushuhudia tukio hilo. 


Salewa alisema alipo cheza kwa mara ya kwanza hakuamini kama angeweza kushinda Bajaj lkn marafiki zake walimtia moyo na kumuhimiza aendelee kucheza hadi aliposhinda. 


"Nilipokuwa nacheza sikufikiria sana kama naweza kushinda Bajaj lkn marafiki zangu walimiambia niendelee kucheza maana watu wanashinda Bajaj," alisema Salewa.


"Naamini sasa nitalima kisasa, nitaongeza kipato ili nieasomeshe wadogo zangu, babu na bibi yangu wamezeeka hivyo nitawasaidia kwenye matumizi," aliongeza mshindi huyo.


Salewa ambaye hujishughulisha na shughuli ndogo ndogo ikiwemo kilimo katika kujiongezea kipato alisema anatarajia kuendesha mwenyewe Bajaj hiyo huku mjomba wake pia akimshauri ajufunze kuendesha mwenyewe ili aongeze kipato na kurahisisha shughuli zake na kuboresha maisha. 


Nao majirani, marafiki na ndugu walisema Bajaj hiyo imekuwa kama ukombozi kwao kwani katika eneo lao kuna shida kubwa ya usafiri. 


Babu yake anasema mara ya kwanza hakuamini kama taarifa hizo ni za kweli hadi pale alipoiona timu ya sportPesa. 
Naye Juma Gora ambaye ni jirani wa Salewa aliwataka Watanzania kucheza na sportPesa na kuitumia fursa hiyo kwa maendeleo yao. 


Promosheni ya shinda zaidi na sportPesa imeendelea kushika kasi huku washindi kutoka pande zote za nchi wakijishindia Bajaj kutoka SportPesa. 


Kwa kupiga *150*87# kupitia mitandao yote ya simu ya mkononi, watanzania wanaianza safari kuelekea kujishindia, fedha taslimu, Bajaj au vyote kwa pamoja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic