TAARIFA NYINGINE YA SIMBA KUHUSIANA NA MWEKEZAJI WAKE MO DEWJI HII HAPA
Taarifa kwa umma
Uongozi wa Klabu ya Simba unapenda kuwataarifu Wanachama, wapenzi na washabiki wake kuwa mchana wa leo baada ya Sala ya Ijumaa (Saa 8.00) kutakuwa na KISOMO katika Makao Makuu ya Klabu Mtaa wa Msimbazi.
Lengo la KISOMO hiki ni kumuomba Mwenyezi MUNGU aweze kuleta wepesi kwenye Matatizo yaliyompata Mlezi na Mwekezaji wetu Bw. Mohammed Dewji "MO"
Tunapenda kuwakaribisha katika Kisomo hiki muhimu ili kumuomba Mungu aweze kumlinda na kumrejesha Mwenzetu salama.
Kutoka Simba Sports Club
Inshaallah
ReplyDeletewana simba ombeni dua sana maana mo asipopatikana wachezaji wataondoka wote wa kimataifa waende zao. dah sipati picha itakuwaje
ReplyDeleteChizi si lazima aokote makopo! Wachezaji wa kigeni Simba walikuwepo kabla ya MO, na wataendelea kuwapo! Tunasikitika kwa vile ni binadamu mwenzetu!
DeleteWatu wanafikiria maisha ya binadamu mwenzao huyu anakuja na comment ya kifedhuli. Binadamu wengine unasita kuwaita binadamu.
ReplyDeleteHuyo anayekejeli lazima ana wazimu au ni wazimu wa kurithi toka kwa mama yake mzazi. Kabla hata MO hajazaliwa simba ilikuwa na wachezaji wakulipwa.Msenge mkubwa huyo
ReplyDeleteAMEN
ReplyDelete