VIDEO: CANNAVARO ATAJA ORODHA NZIMA YA MAKOCHA ANAOWAKUBALI
Nahodha wa kihistoria wa Klabu ya Yanga Nadir Haroub Ally Upapa, ‘Canavaro’ jana amegwa kwa mara ya pili tangu atangaze kustaafu kucheza soka, ambapo safari hii ilikuwa ni zamu ya wadau wa soka visiwani Zanzibar, mahali alikoanzia soka.
0 COMMENTS:
Post a Comment