VIDEO: KISA SIMBA, ZAHERA AWACHANA LIVE WACHEZAJI HAWA YANGA
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amewalaumu baadhi ya wachezaji wake kwa kupotea kwenye kipindi cha kwanza katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) Septemba 30, 2018, kati ya Simba Vs Yanga.
wewe sema kweli mlizidiwa mpira
ReplyDelete