October 20, 2018


Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea katika viwanja mbalimbali ambapo leo kulikuwa na michezo minne , timu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Alliance Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Yanga imefanikiwa kuendelea kuonyesha maajabu ya soka kwa kutufungwa mchezo wao wa 7. Matokeo ya michezo mingine  leo ni kama ifuatavvyo:-

Tanzania Prisons 0-0 Singida United ,Uwanja wa Sokoine,Mbeya.

Biashara United 0-0 KMC ,Uwanja wa Karume,Mwanza.

Coastal Union 0-0 JKT Tanzania ,Uwanja wa Mkwakwani,Tanga.

7 COMMENTS:

  1. We we ndiyo unaandika habari za ajabu..hivi kuna maajabu gani kwa timu iliyo katika nafasi tatu katika ligi kuifunga bao 3 timu ambayo ni kibonde na ya mwisho katika ligi katika nafasi ya 20..Ama kweli kwa akili yako yote kilichotokea ni maajabu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. We dawa yako mbao tu,,kwanza habari hii haihusiani na tekwa tekwa fc.

      Delete
    2. Cha ajabu duniani ni timu moja kuchezea mechi saba mfululizo katika uwanja wa nyumbani!

      Delete
    3. Haaa haaa haaa ety tekwa tekwa fc

      Delete
  2. Ninyi mnaosema yanga kacheza mechi zote uwanja mmoja kwan hamjui km japo kachezea zote dsm lakin kacheza nyumban na ugenini? Fuatilieni msiwe mnaongea bila kujua uhalisia wa kile mnachokiandika

    ReplyDelete
  3. Unajua bongo wasemaji wengi tuone Leo mtakapo cheza na chama LA Sana namkifungwa mtauana maana mmekalia kuzungumzia YANGA mda wote hamna yakwenu yakujadili?mbao kafa 2-0 sasa unasema dawa yetu mbao au zipo mbili wewe ndo umefungwa na mbao sio YANGA tulien mtaongea sana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic