VIDEO: BASATA: WCB NI WAPUMBAVU, TUMEMUITA DIAMOND, ANAHAMASISHA USHOGA
Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) jana Jumatatu, Novemba 12 2018, limetangaza kuufungia wimbo mpya wa mwanamuziki Rayvanny kwa maelezo kuwa unahamasisha masuala yaliyo kinyume na maadili ya jamii na kwamba usipigwe wala kuchezwa mahali popote.
Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mungereza, amesema wanafanya mawasiliano na mamlaka nyingine ili kuchukua hatua zaidi kwa kuwa tayari wimbo umeenea mitandaoni na kuongeza kwamba iwapo wataupiga katika tamasha lao la Wasafi linalotarajiwa kuanza Novemba 24, 2018 nalo watalifungia.








Wasenge tuu si ngoma lina bang kinoma mtaani huku mpaka magetoni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ReplyDelete