November 22, 2018


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama ‘Diamond Platnumz’ amewapa makavu live Clouds Media kwa kwaambia kwamba wameomba poo na kumchukua mlezi wao Paul Makonda ili kuhudhuria Fiesta.

Kupitia akaunti yake ya Instagram ameweka post yenye maandishi yanayosomeka, “Mambo yamekuwa magumu hadi imebidi waombe poo na kuomba msaada kwa kwa mlezi wetu. Najiuliza tu Leo kawa sio mvamizi ten???” 

Hayo ni baadhi ya yaliyo katika picha ya post hiyo, itazame hapo chini.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic