KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA CHINI YA MIAKA 23,HIKI HAPA Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23, kitakachoingia kambini Novemba 6,2018 kujiandaa na mashindano ya kufuzu Afcon U23 itakayochezwa Novemba 14 Burundi na marudiano Novemba 20 Uwanja wa Taifa.
Tff wawe makini kwny umri halisi, wasi rely kwny Docs za timu na mfumo wa TMS, yacje yakatukuta ya Nurdin Bakari,Benin na Zanzibar heroes
ReplyDeleteHawa wapimwe Mifupa ! Wengine mbona vijeba hivyo hapana.
ReplyDelete