November 11, 2018


Inawezekana kabisa Mbambane Swallows ikawa imeipa mteremko Simba kutokana na kumuachia mchezaji wake mmoja muhimu Quadri Kola aliyetimkia Zesco ya Zambia.

Kola ambaye hapo awali alikuwa anawindwa na klabu ya Yanga, ameondoka Swallows kwa kusajiliwa na Zesco ambayo inanolewa na George Lwandamina aliyewahi ifundisha Yanga.

Kuelekea mechi hiyo itakayopigwa kati ya terehe 27 na 28, Kola hatokuwa katika kikosi cha Mbabane hivyo Simba wanaweza tumia pengo la mchezaji huyo kupata matokeo.

Mchezaji Kola ambaye anacheza nafasi ya ushambuliaji alipigiwa upatu na Yanga kwa ajili ya kuja kuchukua nafasi ya Donald Ngoma lakini mpango ulikwama.


2 COMMENTS:

  1. Ah, kwahiyo alivyoondoka mchezaji huyo Mbabane itacheza jumla yawachezaji 10 tu uwanjani au

    ReplyDelete
  2. Hana jpy huyu..
    Habar za kutunga tunga

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic