November 7, 2018

5 COMMENTS:

  1. Kwanini ligi wengine wacheze mechi 14, wengine 9, 10, 11???? Kama ligi kusimama timu zote zisimame kucheza sio 4 ziendelee na nyingine ziwe likizo

    ReplyDelete
  2. Kwel kabisa hyo sio haki mnazitesa timu ndogo

    ReplyDelete
  3. Kwani Ndanda inacheza mara mbili kwa siku ya leo? Umeandika lion vs Ndanda.
    Coast vs Ndanda

    ReplyDelete
  4. hii ligi kuahirisha mara kwa mara ndio inakimbiza wadhamini kwani ligi inapoteza mvuto

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic