Inaelezwa kwamba Kuelekea katika Dirisha Dogo la Usajili Simba litakalofunguliwa Novemba 15, Kocha wa Simba, Patrick Aussems, anatamani Kiungo wa Klabu ya Yanga, Feisal Toto, asajiliwe Simba.
Ukituandikia habari use unafikiria unachotuandikia...ulivyoandika kichwa cha habari hapo juu inaonekana chanzo cha habari ni TBC...lakini wao wanasoma dondoo za gazeti LA Bingwa ambalo linaanfika habari za kufurahisha ombaomba FC..hivi Fei Toto atachukua nafasi ya Chama , dilunga, haruna ,mkude au kotei pale simba?
hizo habari za kutunga zinapoteza hadhi yenu si nyie ndio mliandika kocha wa simba haoni wa kumchukua yanga halafu mnalalamikia sheria ya vyombo vya habari huku mnatuletea habari za uongo
Eti Fei toto phfeweeeee..unakumbuka Simba walivyocheza na yanga mid field ya Simba walivyowafundisha soka Yanga.Afadhali Tshishimbi alifurukuta.Fei toto alikuwa cha mtoto kama kifaranga kilichonyeshewa na mvua.acha kuandika upuuzi
Kuna usemi kuwa adui yako muombee njaa . Tunaweza kumsajili Fei toto kwa ajili ya kuidhoofisha Yanga kama tulivyofanya kwa Niyonzima , lakini si kuja kucheza kwani hana nafasi kwa viungo imara na bora waliosheheni katika kikosi cha SIMBA
Kwahiyo imedhoofika kwa niyonzima kuondoka? Au wanaendelea kumlipa mshahara wa bure na kumsomeshea wanae tu! Raha ya mpira ushindani sio kucheza uku una uhakika wa ushindi
Ukituandikia habari use unafikiria unachotuandikia...ulivyoandika kichwa cha habari hapo juu inaonekana chanzo cha habari ni TBC...lakini wao wanasoma dondoo za gazeti LA Bingwa ambalo linaanfika habari za kufurahisha ombaomba FC..hivi Fei Toto atachukua nafasi ya Chama , dilunga, haruna ,mkude au kotei pale simba?
ReplyDeleteUongo mwingine hauna hata macho habari ya kutengenezwa hiyo
ReplyDeleteSasa akacheze nafac yanani labda ushangiliaji simba imeenea imekamilika kila idara
ReplyDeleteSasa akacheze nafac yanani labda ushangiliaji simba imeenea imekamilika kila idara
ReplyDeletehizo habari za kutunga zinapoteza hadhi yenu si nyie ndio mliandika kocha wa simba haoni wa kumchukua yanga halafu mnalalamikia sheria ya vyombo vya habari huku mnatuletea habari za uongo
ReplyDeleteEti Fei toto phfeweeeee..unakumbuka Simba walivyocheza na yanga mid field ya Simba walivyowafundisha soka Yanga.Afadhali Tshishimbi alifurukuta.Fei toto alikuwa cha mtoto kama kifaranga kilichonyeshewa na mvua.acha kuandika upuuzi
ReplyDeleteDuuuuuh hatareeee
ReplyDeleteKuna usemi kuwa adui yako muombee njaa . Tunaweza kumsajili Fei toto kwa ajili ya kuidhoofisha Yanga kama tulivyofanya kwa Niyonzima , lakini si kuja kucheza kwani hana nafasi kwa viungo imara na bora waliosheheni katika kikosi cha SIMBA
ReplyDeleteKwahiyo imedhoofika kwa niyonzima kuondoka?
DeleteAu wanaendelea kumlipa mshahara wa bure na kumsomeshea wanae tu!
Raha ya mpira ushindani sio kucheza uku una uhakika wa ushindi
Humo no uongo fei Toto yeye ampambane na yanga yake hana nafasi simba
ReplyDeleteHumo no uongo fei Toto yeye ampambane na yanga yake hana nafasi simba
ReplyDeleteFei Toto Hana Nafasi Simba Kwa Muonowangu
ReplyDelete