November 26, 2018


Mwamuzi wa  Tanzania Jonesia Rukyaa, kesho atakuwa kibaruani kuchezesha mchezo wa nusu Fainali ya AFCON ya Wanawake nchini Ghana.

  Mchezo huo kati ya South Africa dhidi ya Mali utachezwa saa 12:30 jioni uwanja wa Cape Coast Sports.

Rukyaa ana beji ya FIFA ni mwamuzi wa kitanzania atakayekuwa kati kwenye mchezo huo wa nusu Fainali za Afrika ana uzoefu wa kuchezesha mechi kubwa iki ni pamoja na ile ya Simba iliyochezwa uwanja wa Taifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic