November 21, 2018




Tayari Serikali ya Qatar imepiga hatua kubwa katika ujenzi wa viwanja na miundombinu kadhaa ikiwemo ya usafiri kama treni.

Michuano hiyo ikiwa imebadilishwa katakana na joto, itaanza November 21, 2022 hadi  Desemba 18 ikiwa ni jumla ya siku 28.

Viwanja vinane vya michuano hiyo vino ndani ya mail 21 za jiji kubwa la Doha na hii itawawezesha baadhi ya mashabiki kutazama mechi mbili kwa siku katika viwanja tofauti.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic