VIDEO - FID Q AFUNGUKA KUHUSU POVU LAKE NA BABU TALE, WASAFI
FID Q Afunguka kuhusu Povu lake na BABUTALE, ni baada ya kujibishana kwenye mtandao wa Instagram, huku kisa kikiwa hakijulikani. Global TV imeongea na Fid Q ambaye ni mkali wa Hip Hop Bongo na kufungukia bifu lake na Meneja wa Wasafi, Babu Tale








0 COMMENTS:
Post a Comment