Mshambuliaji Sadio Mane ameongeza mkataba na klabu yake ya Liverpool.
Mane amesaini mkataba wa miaka mitano na Liverpool FC ambayo ameichezea kwa mafanikio.
Hadi anasaini mkataba huo, tayari Mane aria wa Senegal alishaifungia Liverpool mabao 40 katika mechi 89.
REKODI
Mechi 89
Mabao 40
Asisti 18
0 COMMENTS:
Post a Comment